News

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Tanzania Startup Association (TSA) limezindua leo Aprili 28 limezindua ripoti ya mfumo ikolojia nchini ya mwaka 2024, huku ikionesha ukuaji madhubuti wa uwekezaji. Mkurugenzi ...
Please wait while your request is being verified ...
VIONGOZI na wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita wameonywa kutotumika kama chambo cha kueneza fitina kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Aidha wanachama wa ...
DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka watanzania kusimama na Rais Samia Suluhu Hassan katika kulinda amani iliyopo nchini kwani Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine. Pia ...
KAGERA: KAMPENI ya msaada wa kisheria ya Mama Samia wilayani Missenyi mkoani Kagera imefanikiwa kwa asilimia 95.3 ndani ya siku 15. Mafanikio hayo ni tangu ilipozinduliwa na Waziri wa Katiba na Sheria ...
SERIKALI ya Tanzania imesema ni muhimu kundi la majadiliano la viongozi wa Afrika (AGN) liwe na sauti moja ili kupata mikakati ya kupata fedha za kukabili athari za mabadiliko ya tabianchi. Makamu wa ...
QATAR: BALOZI wa Tanzania nchini Qatar, Habibu Awesi Mohamed amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Chuo cha Mowasalat ...
Makamu wa Rais wa Visa na Meneja Mkuu wa Ukanda wa Afrika Mashariki, Chad Pollock, alimkaribisha rasmi Makere, akisema ...
WIZARA ya Viwanda na Biashara kupitia Wakala wa Vipimo (WMA), imekagua na kuhakiki jumla ya vifaa vya vipimo 1,013,859 katika ...
DODOMA: NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali inaendelea kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenye maeneo ...